Serikali Yapiga Marufuku Ujumbe wa Kisiasa Katika Tamasha za Shule
wanafunzi wakitumbuiza katika Tamasha la Kitaifa la Drama mjini Nakuru Serikali imefanya mabadiliko katika sheria zinazosimamia tamasha za kitaifa za shule, ikipiga marufuku uwasilishaji wa maudhui yanayohusiana na siasa, ajenda za kisiasa, kampeni pamoja na mada zinazoweza kuwakejeli watumishi wa umma. Hatua hiyo imezua mjadala mpana kuhusu iwapo inalinda maadili ya elimu au inaminya uhuru…


