Uasin Gishu: Mashirika ya Kutetea Haki Yamlalamikia OCS wa Eldoret Central, Yataka IGP Aingilie Kati
Kulingana na barua yao ya malalamiko, Lenaso anakabiliwa na tuhuma tatu kuu. Kwanza, anatuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake ya kipolisi.